@mlelekwaINC
Feb 4, 2013
Tagged under: Music
Music| C- sir Madini feat Josefly ''Ndagu''
Baada ya hits kadhaa zilizomfanya TZ ikamfahamu akianza na kick kali toka ''Kifungo huru'',kisha ''nishike mkono'',hakukaa saana akarelease mzigo ''Pain killer'',it's another new hit toka kwake C-sir Madini akiwa na Josefly akikwambia ''Ndagu'' aliyesimamia kurekebisha kila kitu mzigo huu ni Sandu George a.k.a Kid Bway toka Tetemesha Recodrs,Enjoy good hits kupitia blog ako
@mlelekwaINC
@mlelekwaINC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment