Jul 23, 2012
Tagged under:
Jamani ee zile swaga za kijanja zimehamia pande hizi,kuwa mkweli tulianzia kwenye FB na group moja ifahamikayo kama WANASWAGA INFORTAIMENT EFFECTS sasa ni step nyingine ambayo nahisi zile infortaiment zitahappenishwa kwa saana,not only dat masuala yote ya mziki hapa ndo itakuwa mahala pake,pia sports,na vichekesho kwa saana so usiache kudumbukia humu mara kwa mara upate kushibisha jicho,ahsanteni marafiki zangu kwa kushow luv kwangu haya muendelee hivyo cuz baraka zake God zipo nanyi muda wote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment