300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 23, 2013

Tagged under:

HIZI NDIO PICHA ZA IZZO B NDANI YA STUDIO CLOUDS FM KWENYE UZINDUZI WA NGOMA YAKE MPYA ''BALL PLAYER''

Adam Mchomvu,Quick Racker,Dj Zero,Ngwair,Fetty,Izo B,B Dozen.

 Msanii wa Bongo Fleva kutoka Mbeya  mwite Izzo Busness siku ya leo baada ya kutambulisha rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Ball player ndani ya showkubwanchini XXL,exclusively dondoo ni kwamba msanii huyo aliamua kuja na kitu cha champagne ishara ya kubariki ngoma hiyo.
  Pindi ngoma hiyo mpya Izzo B ikiachiwa mapema leo kupitia mtandao wa Instagram msanii huyo aliandika kuwa "Leo tunaibless ngoma na Champagne koz we r ball players," 

Adam Mchomvu,Izzo B na B Dozen

0 your comments:

Post a Comment