Mar 13, 2013
Tagged under: Music
Baada ya kuipika vizuri ngoma ambayo ilimrejesha katika ramani ya music kwa mara nyingine,akiwa na ngoma iliyojaa ubunifu hususani kwa message na vina inayofahamika kwa jina la Dear God msanii Kalla Jeremiah tokea Mwanza a.k.a Rap City leo kaachia official track ikiwa ni moja ya ngoma zinazopatikana katika Ulbum ya Pasaka mzigo unakwenda kwa jina la ''Karibu Dar''kashirikishwa Ben Pol poduction yake Mbezi
Isikilize hapa chini na kuidownload
Music| Kalla Jeremiah"Karibu Dar" feat BenPol
Baada ya kuipika vizuri ngoma ambayo ilimrejesha katika ramani ya music kwa mara nyingine,akiwa na ngoma iliyojaa ubunifu hususani kwa message na vina inayofahamika kwa jina la Dear God msanii Kalla Jeremiah tokea Mwanza a.k.a Rap City leo kaachia official track ikiwa ni moja ya ngoma zinazopatikana katika Ulbum ya Pasaka mzigo unakwenda kwa jina la ''Karibu Dar''kashirikishwa Ben Pol poduction yake Mbezi
Isikilize hapa chini na kuidownload
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment