Msanii Wiz Kid kutoka Nigeria amefungua Record Lebel yake inayokwenda kwa jina la ''Starboy Music''na kwa kuanza amemsainisha msanii wa karibu, wanayeshirikiana naye katika masuala ya kimziki E.M.E,na akafunguka kwa kusema program zake ni kufanya kazi na wasanii wakubwa Duniani kama ambavyo Psquare na Dbhanji wanafanya kwa sasa,tetesi za chinichini inasemekana msanii MoChedah anaweza kuwa kati ya wasanii watakaosimamiwa kazi zake na Lebel ya Starboy chini ya Wiz Kid.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI WIZ KID AKIFUNGUKA KUHUSIANA NA STARBOY MUSIC
Mar 4, 2013
Tagged under: Entertainment, Video
Video| Wiz Kid azindua Lebel yake,angalia video ya Vixen red carpet ambapo msanii huyo alifunguka juu ya Lebel hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment