300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Sep 7, 2013

Tagged under:

BURUDANI | Danny Msimamo alonga "Lazima Iwe Kikubwa"


       Ni mmoja kati ya wasanii wanaunda kundi la magenge vinega wanaopatikana  maeneo ya mwenge,Dany ambaye aliwahi kutamba na ngoma kama mic na nahisi vitu vingi.
Tuhamie mwezini ni moja kati ya nyimbo kali za Dany msimamo akimshirikisha Rama Dee pamoja na Suma g.Akiongea na Chanzo joint hii alisema “Nipo katika kufikiri jinsi ya kufanya video yangu ya Tuhamie mwezini,ila sitaki kukurupuka maana nyimbo ni kubwa sana.
Hivyo lazima iwe kikubwa zaidi hii video.pia kwasasa tupo katika mipango mizuri ya project zetu kama magenge.watu wa kweli waendelee kuwa na subira juu ya ujio mzuri wa mambo mazuri kutoka vinega.

BY TIZNIZ

0 your comments:

Post a Comment