Aliyekuwa Freemason kwa miaka 14 afunguliwa katika mkutano wa Ufufuo na Uzima unaoendelea Moshi; alikatwa kidole akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama yao (devil horns)
alieleza mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni maelfu ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria mkutano huo katika viwanja vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake Kawe jijini Dar es salaam.
Njia ni moja tu nayo ni YESU, askofu Gwajima akifundisha mkutanoni. |
wanavyohudhuria mkutano huo toka ulipoanza tarehe 20 mwezi huu, unatarajiwa kumalizika siku ya jumapili tarehe 27
0 your comments:
Post a Comment