Rihanna akiwa na Mama yake Monica Braithwaite |
Monica Braithwaite ambaye alikuwa kwenye wiki nzima ya kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa.Msichana Mzuri aligeuka kuwa mbaya pale ambapo alipopeleka kidole chake cha kati kwenye Camera wakati huo akiwa amelala chini ya mama yake na akapenyuaa kifuani ili Matiti yake yaonekane kwenye Camera,kitendo hicho hakikuweza kusababisha Tafrani yoyote baina yake na Mama Mzazi wakeRihanna alielazimika kusitisha kwa Muda Shughuli zake za Ziara yake na kuungana katika kusherekea na Mama yake
0 your comments:
Post a Comment