MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kushamiri mkoani Rukwa, baada ya watu wasiojulikana kumuua kikatili mtu mmoja kwa kumchinja na kutokomea kusikojulikana na kichwa cha mtu huyo |
Mwenyekiti huyo aliongeza kuwa watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia leo ndio kiwiliwili chake kilibainika kuwepo hapo lakini hakina kichwa kwani waliondoka nacho.Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa.
KWA NYINGINE NYINGI BONYEZA HAPA!!!!!
SOURCE:Pembezoni Kabisa Blog
0 your comments:
Post a Comment