KCK ikiundwa na SpacDawg pamoja na Boox wanadrop ngoma mpya "Hili Kombe"
iliwa ni collabo hiphop joint waloshirikishwa Nigga C toka Jambo Squad
pamoja na Defxtro, mzigo mzima ni pishi la Noizmekah Studios Arusha, na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na KCK kupitia +255 754 970 956
Sikiliza na Download wimbo huu na kwa Ngoma zingine Kali bofya Button hiyo hapo chini
Dec 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment