300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 9, 2014

Tagged under: ,

Breaking News| Ajali ya Gari yatokea Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.





Ajali mbaya imetokera kahama mkoani Shinyanga maeneo ya BPP kituo cha mafuta barabara ya lami mpya kona inayo elekea azania bank. Ajali imehusisha gari kubwa aina ya fuso lenye namba za usajiri T593 CPK na gari dogo aina ya hilux namba T305 AFR.Ajari inasemekana haina mtu aliepoteza uhai ila majeruhi baadhi wamewahishwa hospitali.

JESHI LA POLISI WILAYANI HUMO NALO HALIKUA NYUMA KATIKA SWALA HILI,TAARIFA ZAIDI NA KPOG
SOURCE:KPOG

0 your comments:

Post a Comment