Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii (mb Bukoba) Hamis Kagasheki akizungumzia uamuzi wake wa kujiuzulu kwake uwaziri wa maliasili na utalii, kuwa
hajutii kwani amewajibika kisiasa na kuwajibika huko siyo lazioma
ukahusika moja kwa moja na makosa yaliyotokea,nakuomba
ushirikiano toka kwa wananchi.Katika mkutano huo, Balozi Kagasheki amesema kuwa ni wakati wa
kushirikiana sasa kuhakikisha maendeleo yanatekelezwa na kuwezesha
wananchi kupata haki yao iliyofifia kwasababu za watu wachache, huku
akisema kuwa waomber Mungu mpaka kuhakikisha waliofanya ubadhilifu
wanachukuliwa hatua za kisheria |
0 your comments:
Post a Comment