Ruge Mutahaba akimtambulisha Mkurugenzi mwanzake wa Maendeleo ya Biashara,Sheba Kussaga kwa Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.Frederick Sumaye. |
Mkuu wa Kitengo cha uzalishaji vipindi wa Clouds TV,Bwa Kanyopa akitoa ufafanuzi mfupi kwa Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.Frederick Sumaye namna ya kuandaa na kuhariri vipindi vya televisheni. |
0 your comments:
Post a Comment