Jan 28, 2014
Tagged under: Entertainment, Music, News
Ikiwa ni muda sasa tangu single ya tupogo kutoka na kufanya vizuri maskioni mwa mashabiki wengi wa muziki wa bongo fleva,na watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu video ya wimbo huo, maana mpaka dakika hii haijatoka, Ommy Dimpoz leo hii ameamua kuongea na hiki ndicho alichokisema."video ya tupogo kiukweli kama unavyoona imechelewa lakini ni kutokana na jay martines alikuwa na mambo ya kifamilia, mke wake ni mja mzito, kwahiyo sasa nikashindwa kushuti mimi kama mimi, na mke wake mwenyewe alimpeleka marekani kwaajili ya mambo hayo, kwahiyo ikawa kidogo imekuwa ngumu, lakini watu wajiandae kwa sapraiz kubwa kwenye tv zao na redio. siwezi kusema ni sapraiz ya kitu gani lakini wajiandae na sapraizi kubwa, inawezekana ya kitu kipya au vipi, lakini watu wajiandae".
Msikilize Ommy Dimpoz akifunguka juu ya hili wakati akipiga story na chanzo cha Joint hii.
Source:DjFetty
Interview| Dimpoz Kuwasuprise Fans wake juu ya ujio wa "Tupogo" Video.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment