300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 13, 2014

Tagged under: , ,

New News| Hii hapa Top10 ya Matajiri zaidi Duniani wanaotumia Magari ya Bei Nafuu.


Philip Hanson Knight(Phil Knight),alizaliwa 24februari 1938,ni mfanyabiashara,Mweneyekiti na Mwanzilishi wa kampuni ya NIKE.Anashika nafasi ya 47 kwa utajiri Duniani akiwa na utajiri wa zaidi ya $14.4 Billion.Pamoja na kuwa katika utajiri huo Mmarekani huyu(Phil) anatumikia mashirika ya Misaada Mashuleni Duniani na Taasisi za kusaidia Watoto waliokatika Mazingira hatari(wasiojiweza).
Pamoja na kuwa katika utajiri na kuitumikia jamii Phil inasemekana anatumia gari aina ya Audi R8 lenye thamani ya $120,000 tu.

Michael Reubens Bloomberg mfanyabiashara mkubwa wa data Duniani na Meya wa 108 wa jiji la New York kwa sasa.Ni mmoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Chuo kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani,Ni mtu wa 7 kwa utajiri Marekani akimiliki utajiri wa $27 Billion.Meya huyu(Bloomberg) licha ya kuwa na utajiri huo anaendesha gari aina ya Audi R8 lenye thamani ya $120,000 sawa na Phil Knight.

Michael Dell mwandishi,mfanyabiashara wa vifaa vya umeme,ambaye pia ni mmoja wa wanaojitolea kufadhili miradi inayosimamia utoaji wa huduma kwa watu wasiojiweza(wanaoishi katika mazingira hatarishi ) Duniani.Huyu ndiye mmoja kati ya waanzilishi wa Kampuni ya kutengeneza Kompyuta aina ya Dell kupitia Kampuni ya Dell Inc akimiliki hisa 243 katika Kampuni hiyo.Anazungumzwa kuwa na utajiri wa $24.4 Billion.Licha ya kuwa na utajiri huyo Michael Dell anatumia usafiri wa gari aina ya Porsche Boxter 2004 lenye thamani ya $80,000 tu.

Waren Buffet ,ni mmiliki,mwenyekiti wa shule ya msingi ya kimataifa nchini Marekani yaBerkshare Hathaway,yumo pia kwenye List ya 3 ya Matajiri zaidi Duniani ingawa utajiri wake haujaweza kuwekwa wazi kutokana na uwekezaji wake mpaka sasa kuwa kwenye ufuatiliwaji ifahamike anautajiri wa kiasi gani.Alishawahi kuzungumzwa kuwa yeye ni sumu wa jimbo la Omaha kutokana kuwekeza katika kusaidia watu wanaoishi katika Mazingira Hatarishi/Magumu Duniani.Licha ya nafasi hiyo aliyopo ya utajiri Waren anamiliki gari aina ya Cadillac DTS lenye thamani ya $45,000 tu.

Mfanyabiashara wa KifaransaFrancois-Henry Pinault ni CEO wa PPR,anamiliki kampuni ya kifaransa ya CompagnieFrançaise de l’AfriqueOccidentale(CFAO)inayojihusisha na Mifumo ya Internet ulimwenguni.Tajiri huyu wa Kifaransa haijawekwa wazi anautajiri wa kiasi gani na anamiliki gari aina ya Lexus SUV lenye thamani ya $40,000

Laureen Powell,mke wa Steve Jobs(marehemu) ni mfanyabiashara mkuu mtendaji wa Marekani ambaye pia ni raisi wa Bodi ya chuo kinachoitwa CT(College Track).Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Apple Inc.anautajiri wa $3.9 Billion.Anatumia gari aina ya Audi A5 lenye thamani ya $40,000.

Alice Walton ni mwanamama aliye kwenye daraja la Pili la wanawake Matajiri Duniani.Anamiliki kampuni yake binafsi ya Wal-Mart Fortune,bado utajiri wake haujawekwa wazi.Pamoja na Utajiri huo mwanamama huyo anamiliki gari aina ya 2006 Ford F-150 King Ranch,lenye thamani ya  $40,000 tu.
Nani haijui Facebook?,mmiliki wake Mark Zuckerberg ametajwa kuwa ni mmoja kati ya Mabilionea vijana Duniani,licha ya taarifa kuficha kiwango cha utajiri wake mwanzilishi na CEO wa mtandao wa kijamii wa Facebook anamiliki gari lenye thamani ya $30,000 aina ya Acura TSX

Kwa mujibu wa Jarida la Forbes lililotaja Matajiri 400 bora zaidi Duniani Steve Ballmer alishika nafasi ya 19.Huyu ni mfanyabiashara wa Kimarekani ambaye CEO wa kampuni ya Microsoft nchini Marekani iliyo chini ya Bill Gates tajiri wa Uingereza.Utajiri wake unasemekana ni $15.9 Billion akimiliki gari aina ya Ford’s Hybrid Fusion lenye thamani ya $19,000

Ingvar Kamprad huyu raia wa Kirusi,mmiliki na mwanzilishi wa Kampuni ya Ikea inayojihusisha na masuala ya Internet Duniani.Anautajiri wa $28 Billion,akitumia gari aina ya Volvo 240 lenye thamani ya $1500 tu,na kingine tajiri huyu hupendelea kutembelea usafiri wa Umma katika shughuli zake.

0 your comments:

Post a Comment