Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae na kumwambia asante kwa yote
alokufanyia, mko wote long time mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni
maneno ya AY yakisikika kwenye Interview ndani ya XXL YA Clouds Fm na pia kwenye intro ya wimbo wake aliouachia
leo hii."Wimbo huu nimefanya na mwanadada "Della" kutoka Kenya ambae ameshawahi
kufanya collable na Sauti Souls, na ni maalum kwa wale wapendanao" alifunguka zaidi AY.
Source:DjFetty
0 your comments:
Post a Comment