Baadhi ya Picha za tukio la Mkutano wa Skauti Katoliki uliofanyika kati ya Tarehe 24 na 25 katika Hotel ya Belinda Ocean Resort maeneo ya Mbezi Beach Dar es Salaam,
Skauti Katoliki imeanzishwa kwa lengo kuu la kusaidia jamii katika pande mbalimbali ikiwemo katika ulinzi wa amani kwenye Makanisa ya katoliki na kujitolea katika kusaidia wakati wa matatizo mbalimbali.
Mtiririko ufuatao unapicha za tukio zima kuanzia wajumbe walipokuwa kwenye Malazi(sehemu walipokuwa wanalala),usafiri toka Hostel za shule Green Acress mpaka eneo la Hotel ambapo mkutano huo ulikuwa unafanyika.Mimi pia nilikuwa mmoja kati ya wajumbe wa mkutano huo nikiliwakilisha jimbo kuu Katoliki la Arusha.
ZITIZAME PICHA ZPTE ZA TUKIO HILO
Wajumbe wakiingia kwenye usafiri kuelekea eneo la mkutano ulipokuwa ukifanyika |
Wajumbe wakiwasili eneo la Hotel ya Belinda ambapo mkutano mkuu wa pili(Skauti Katoliki) ulifanyika |
Wajumbe wa mkutano wakijiandaa kabla ya kuanza mkutano |
ilikuw ni kawaida kabla mkutano haujaanza lazima shughuli mbalimbali za Kiskauti zifanyike,hapa ni kiongozi wa Skauti akiwaongoza wajumbe katika moja ya mambo yanayofanywa na Skauti. |
Rais wa Skauti Katoliki Mh.Julian Bujugo akifungua Mkutano |
wajumbe wa mkutano toka jimbo kuu la Arusha Emmanuel Mlelekwa na Robert Vainecky wakijadili jambo kuu katika mkutano huo |
Break Fast nayo ilikuwa ya msingi kabla wajumbe hawajauanza mkutano |
Mida ya saa saba wajumbe walijumuika kw chakula cha mchana hapohap Belinda Ocean Resort |
Noma saana Camera ya DSC-W270 ilielekeza lenzi yake upande huu nai nkaonekana wakati huo breakfast ikiendelea |
moja ya Mijadala ikijadiliwa na wajumbe wa mkutano huo |
Katibu mkuu wa Skauti Katoliki bw.Elias Mutani(aliyesimama katikti) akiwa na viongozi wenzake wakiteta jambo |
Azimisho la Misa takatifu likichukua nafasi na mmoja wa wajumbe wa mkutano akishiriki katika Azimisho hilo |
Father.Process Mtungi alisimamia Azimio kila kabla ya mkutano kuanza |
Wajumbe katika picha ya pamoja na uongozi w Skauti Katoliki Tanzania |
WAJUMBE HAPO JUU KATIKA PICHA YA PAMOJA
MlelekwaINC Copyrights
0 your comments:
Post a Comment