May 6, 2014
Tagged under: News, Social, Sport
Kocha wa Chelsea mreno José Mourinho a.k.a the Special 1 ambaye ni balozi wa kimichezo wa mtandao wa Yahoo mwaka 2014 mwenye heshima kubwa ya kutengeneza majina makubwa ya watu mbalimbali na wachezaji wenye vipaji Duniani kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kumtafuta The Special 1 mwingine,jee unahisi unaweza kumvutia akuchague wewe?,exclussively unaweza shinda safari ya kwenda jijiniLondon kujumuika katika mafunzo maalum ya kimichezo yatakayotolewa na yeye mwenyewe(José Mourinho).Namna ya kushiriki ili uchaguliwe na Mourinho BOFYA HAPA
DILI| Mourinho kumtafuta The Special One Mwingine.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment