Jul 18, 2014
Tagged under: Entertainment, Music, News
Chukua hii| Ladha za Gitaa VOL 1 yenye Beat 10 za bure Kwako Msanii
Ladha za Gitaa VOL 1 yenye Beat KUMI za BURE Kabisa kwako Msanii Kupatia Inspiration ya Utunzi, Kufanyia mixtape Yako Studio Uliyochagua, Performance Majukwaani na pia kwa Fans wa Muziki kusikiliza, Kuburudika na Beat za Gitaa majumbani. Ingia/Jiunge Mkito.com kuzipakua BURE https://mkito.com/artist-profile/noiz-arachuga/355
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment