300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 8, 2017

Tagged under: , ,

INFOR| Summer Sixteen ya Drake yawa ziara ya hip hop iliyoingiza fedha nyingi zaidi

Kwa mujibu wa Pollstar, ziara hiyo ya Drizzy aliyosindikizwa na Future, iliingiza dola milioni 84.3, kwa kuuza zaidi ya tiketi 752,000, ambapo wastani wa tiketi moja ni $112.



Hivyo, Drake ameipiku ziara ya Jay Z na Kanye Westm, Watch the Throne Tour, iliyoingiza dola milioni 75.6 mwaka 2012. Pamoja na hivyo, Summer Sixteen ilikuwa na show 56 tu huku Watch the Throne ikiwa na 63.

0 your comments:

Post a Comment