300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 13, 2017

Tagged under:

INFORTAINMENT| NYIMBO HIZI ZA AALIYAH ZIMEANZA KUPATIKANA KWENYE MITANDAO YA KUSTREAM

Baada ya mashabiki kukaa kwa muda mrefu kutopata nyimbo zilizo hits za marehemu Alliyah kwenye mitandao ya Kustream, mwaka 2017 umekuja nazo.

Takribani nyimbo 25 za Aaliyah zikiwemo na zile ambazo ni maarufu kama “One in a Million4 Page LetterTry AgainAre You That Somebody na Rock the Boat.” zote hizi zimekuwa available kwenye Itunesna Apple Music.
Kupitia taarifa ambayo pia imetolewa na Billboard inasema kwamba kampuni ya  Craze Productionsambayo iliwahi kuposti kazi za Aaliyah mwaka 2013 kwenye mtandao wa Itunes bila ya kibali cha wamiliki wake, ndio imerudi tena na “Ultimate” kwa kuweka nyimbo hizo kwenye Itunes na Apple Music, bado haijajulikana kama kampuni hiyo imepata miliki ya kuachia ngoma hizo kwenye mtandao au ndio inawezekana wameamua kurudia kosa lile lile la mwaka 2013.
Source:Perfect255/TMZ

0 your comments:

Post a Comment