Inapofika mida kama ya 13:00pm mpaka ile ngoma 16:00 monday to friday hakuna asiejua kuwa haya majembe yanapatikanaje,,hawa ni mapresenter watatu ukiwaangalia pozi waliloliseti hopefull u know wametengeneza umbo gani,,Baba John katengeneza X,,B12 nae kanyonga X,,fmthen mwanadada Fetty akamaliza na L,najua kitu cha XXL unakisoma kwa saana ya The People Station{Clouds }
Jul 23, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment