300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Oct 31, 2012

Tagged under:

BEYONCE APIGA TENA COLLABO NYINGINE

hapa ni Beyonce na Miguel

Naweza sema kwamba Beyonce Knowless ni kati ya wakali wanaojua kuchagua aina ya wasanii wa kufanya nao collaborations alishafanya collabo na mtu mzima The-Dream,Franck Ocean,Shakira,mmewe Jay z,this time around anataka kufanya collabo na mtu mzima Miguel.Miguel ni kati ya waimbaji na waandishi wa nyimbo ambaye kama tunavyomfahamu alishawahi fanya kazi na Alicia Keys katika ngoma kama vile Kaleidsocope,Where's the Fun in Forever,.
Miguel
Mapema ya october 30 ambayo ni jana mtu mzima Miguel aliweza kutuma ujumbe wenye picha kunako mtandao wa Instargram kwenye Tweeter ukisema''woah.creating for Virog's all weekends''.Habari za ndani zinaelezea jinsi ambavyo Beyonce na Miguel watakavyokuja na miujiza katika project wanayotarajia kuianza ambayo Miguel amesema ni balaa na anajiandaa kwa mikono ya hatari kuifanikisha,haijawekwa wazi ni lini project hiyo inaanza ila ifahamike hivyo.
Beyonce Knowless


0 your comments:

Post a Comment