300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Oct 31, 2012

Tagged under:

NICK MINAJ ATANGAZA TAREHE YA KUANZA SHOW YAKE KWENYE E! REALITY SERIES KUPITIA VIDEO'' VA Va Va Voom''



    Kwenye American Idol rapper Nick Minaj aliweza kuonyesha udhaifu wa furaha mbele ya Barbz wake hali niliyochangiwa na mawazo kabla ya  show  kwenye Tv show ya 'E! three-episode series' na kuipa ''Nick Minaj:My Truth''.

         Show maalum ya E! kwa Nick Minaj inafikia kikomo november  4,katika Minaj ameweka wazi kuwa katika ulbam yake ya Pink Friday:Roman Reloaded ataweza kutumbukiza ngoma yake inayofahamika kama 'Vava Vava Voom' pamoja na zingine ikiwemo 'The Boys'.
          Kwenye mtandao wa Twetter rapper huyo alituma ujumbe ukisema hivi ''We watched The REUP DVD and the 1st episode of the E! series....u guys are going to go craazzzzzy when you see itNOV19TH DVD,NOV14TH E!''

Nick Minaj


0 your comments:

Post a Comment