Kwa mara ya kwanza nchini Afghanstan kumeshuhudiwa shindano la ndondi kati ya mtoto wa Taifa hilo Hamid Rahimi na mtanzania Haji Mbelwa.
Pambano lililomalizika kwa mtanzania kuloweshwa kwa nock out katika Raundi ya nane Baada ya muAfghanstan huyo kumpelekea makonde yaliyomfanya Haji kusalimu amri mbele ya umati mkubwa uliokuwa chini ya ulinzi mkubwa,kama unavyojua taifa la Afghanistan limekuwa haliko sawa kwa amani.
Mpambano huo ulifanyika usiku wa kuamkia jumanne katika moja ya kumbi za ngumi katika jiji la Kabul-Afghanstan
PICHA ZAIDI TAZAMA HAPA NA HII NI KABLA YA PAMBANO LELNYEWE
![]() |
Hamid Rahimi |
![]() |
Haji Mbelwa |
![]() |
Hapa wakitambiana kabla ya mpambano kwa nyuma ndio mkanda waloshindania |
![]() |
moja ya tambo |
0 your comments:
Post a Comment