Umati wa Watoto toka Madson Square Boys& Girls Club wakimshangilia 50 Cent wakati wa show hiyo. |
Akiwa na members wenzake tokea G Unit akina Tonny Yayo,Dj Whoo Kid hit maker huyo wa single 'In The Club' aliwapa chakula cha mchana watoto wapatao 300 kwa kuimba nyimbo mpya inayofahamika kama''New Day'' aliomshirikisha Dr.Dre pamoja naye Alicia Keys,kabla ya kushambulia stage 50 CENT alisema 'ni nafasi kwangu kuwahamasisha vijana',watoto walikuwa sambamba na mtu mzima 50 Cent wakati msanii huyo akiperfom na mmoja wa watoto alifunguka na kusema 'siku ya leo kwangu imekuwa mbaya kuliko siku zote mbaya kwangu hapa shuleni kwenye Klabu yetu ya Wasichana na Wavulana kufuatia ujio wa msanii mashuhuri na mkubwa ambaye siku zote umekuwa humuoni'
50 Cent akifanya mambo yake jukwaani. |
0 your comments:
Post a Comment