Mama Blue Ivy Beyonce akiwajibika jukwaani katika moja ya perfomance zake. |
The-Dream katika pozi |
The Dream alienda mbali na kusema kuna uwezekano baadhi ya nyimbo ambazo zilikuwa hazijakamilika katika Album ya 4 ya Beyonce zikatambulishwa katika mwisho wa show ya Super Bowl Sunday,iko wazi kabla ya Super Bowl Beyonce anatarajia kuachia nyimbo yake ambayo itakuwa kama kufuata nyayo za Madonna ambaye naye alifanya hivyo siku mbili kabla ya kuperfom Super Bowl february mwaka jana alipoachia ngoma inayokwenda kwa jina la ''Give Me All You Luvin''
Mipango hiyo ya Album yake ya tano nje ya kundi Beyonce aliiweka wazi tokea mwezi September mwaka huu alipokuwa studio kurekodi moja ya wimbo utakaopatikana katika Album hiyo akiwa na Miguel kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na pia kupitia documentary yake ya HBO iliyokuwa ikielezea kuwa Album hiyo itakuwa tayari ifikapo february 16/2013.
Beyonce akiwa amejichora mashavuni chata zinazoonekana kwa maandishi ya za tarehe ambayo ataperform kwenyeSuper Bowl halfshow. |
0 your comments:
Post a Comment