Ndani ya dakika 5 zijazo...ntawapa PIC's kadhaa za BEHIND THE SCENES kutoka video shoot ya ME AND YOU by @VanessaMdee na @ommydimpoz
Ncha Kalih
@IamNchaKALIH
@IamNchaKALIH
Raphael David
@Raphaeldavid10
@TheMithMusic LOL I see....I hear you
Mara ya mwisho umeona mvua kwenye video ya kibongo ilikuwa lini?? #BehindTheScenes #MeandYou they look nice pamoko,no?
Ncha Kalih
Kwa wale ambao mme-fall na @VanessaMdee poleni...mcheki @ommydimpoz alivyomtuliza mtoto #BehindTheScenes #MeandYou
Naziita 'nivute kwako' shorts...maana mtoto @VanessaMdee anastahili kuvutwa #closer sio?? #BehindTheScenes #MeAndYou
"@PeterDafi: @iamnchakalih @ommydimpoz @vanessamdee Utakuwa umetisha sana! Na hoply kichupa kitakuwa chaukweli sana."Cheki TL, pics tayari
"@Raphaeldavid10: @iamnchakalih @ommydimpoz @vanessamdee Sehemu wanazopapaxana uxiziweke mkubwa mana me ntamind"LOL unalo ndugu
"@Phofio: @IamNchaKALIH Ajajajaaaaaaaah, hope it gonna rock"we hear it will.....acha tusubiri
"@Raphaeldavid10: @iamnchakalih @ommydimpoz @vanessamdee Nitawamind2 ngojeni muone kama nitaifwagiria tena"LOL kuwa mpole kaka
"@HanceEmcee: @iamnchakalih @ommydimpoz @raphaeldavid10 @vanessamdee I need to knw if Vanessa has a young sister ;-) lol am 16"yes she has
"@Toxeeqation: @IamNchaKALIH nimeona mamvua niniiii..Twaisubiriaaaa..Hi Shem!"He he he....naskia kuna mikissing ya hataree humo ndani LOL
"@TheMithMusic: Yo @IamNchaKALIH, you're allowed to flood my TL if you keep putting up those pics of Homegirl on set..."cc @VanessaMdee
Mtiririko huu wa mazungumzo uliongozwa na Ruben Ndege a.k.a Nchakali na kwa taarifa tulizozipata Video hii inafanyika huko Nairobi nchini Kenya na muda si mrefu tokea sasa taarifa zitawaijia kuhusu maendeleo ya utengenezwaji wa Video ya wimbo Me n You alioshirikishwa Vanessa Mdee ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Choice fm na pia ni Dvj wa MTV.
0 your comments:
Post a Comment