300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 29, 2013

Tagged under:

Infor|KINACHOMAKE HEADLINE JUU YA LULU SASA BINTI HUYO RUKSA URAIANI.



Habari zilizonifika hivi sasa ni kuwa msanii wa movie Lulu tayari amshaachiwa kwa dhamana leo hii katika mahakama kuu jijini Dar. Licha ya kukamilisha kwa masharti yote aliyopewa jana ikiwa ni pamoja na  kutoa milioni 20 kwa wadhamini wawili,  kuripoti kila mwanzo wa mwezi na kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani hapo, Lulu hakufanikiwa kutoka jana hiyo hiyo kwa kile kilichoripotiwa kutokuwepo kwa msajili wakati huo, hivyo kumlazimu kurudi gerezani
 

0 your comments:

Post a Comment