Mzigo mpya wa kwake Msanii Sarah Kaisi unaweza kumwita Shaa ambaye pia ni mmoja kati ya waanzailishi wa kundi lililofanya vizuri miaka ya 2000 mwanzoni la WAKILISHA lililokuwa likiwajumuisha wakali kama vile Langa pamoja na Witness Mawingi ambao kwa sasa kundi hilo halipo ila wasanii wapo na wanaendelea kufanya mziki.Na Shaa ni kati ya wasanii hao ambaye anaendeleza harakati za game hii na huu ndio ujio wake mpya hapa anakwambia PROMISE aliyenyonga Mdundo wa ngoma hii ni Producer Manecky toka AM Records na mashairi yameandikwa na Barnaba Boy toka THT.
Click hapo chini kuusikiliza na kuudownload mzigo huu
Jan 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment