Dimba la Santiago Bernabeu ambapo jana kulichezwa game ya kombe la mfalme kati ya Real Madrid dhidi ya Celta Vigo |
Ballon d'Or ambayo ilichukuliwa na muargentina Lionel Messi anayesukuma gozi kunako klabu ya Barcelona ya Hispania.
Mashabiki wa Real Madrid wakionyesha bango likiwa tafsiri ya kuwa Ronaldo alistahili kuchukua tuzo ya Ballon d'or |
Mashabiki wa Real Madrid wakionyesha bango likiwa tafsiri ya kuwa Ronaldo alistahili kuchukua tuzo ya Ballon d'or |
Hayo yakijiri mshambuliaji wa klabu ya Totenham Hotspur Gareth Bale hii leo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter ametuma ujumbe kwenye mtandao huo ukielezea kuwa anaamini saana kuwa Christian Ronaldo kwa sasa ndiye mchezaji bora wa dunia aliyekamilika akaongeza kuwa Ronaldo na Ronadinho ndio wachezaji waliokamilika
PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA MTANANGE HUO ULIOPIGWA KATIKA DIMBA LA SANTIAGO BERNABEU.
line up ya Real Madrid iliyoanza jana |
Christian Ronaldo akijiandaa kupiga penalti |
Christian Ronaldo akishangilia moja ya goli lake katika mchezo wa hapo jana |
Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia moja ya goli |
Once again Christian Ronaldo on celebrating his goal |
ilikuwa kazi kwelikweli kumzuia mchezaji huyu |
0 your comments:
Post a Comment