Hapa kilichoangaliwa ni jinsi alivyofunga magoli,namna alivyotengeneza magoli,alivyosaidia kupatikana kwa magoli,akiwa na timu yake ya Taifa na Klabu yake ya Barcelona na Timu alizozifunga magoli n.k |
Juventus na AC Milan, wapo nafasi ya pili wakiwa na washindi wanane kila timu moja.
Real Madrid wametoa jumla ya washindi sita na Bayern Munich wanafunga Top 5 kwa kutoa washindi watano.
Suárez first
Baba wa mshambuliaji wa sasa katika klabu ya Liverpool Luis Suárez alikuwa mchezaji wa kwanza FC Barcelona kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka 1960. Aliyefuatia alikuwa Johan Cruyff aliyeshinda mara mbili (1973 na 1974) na mwaka 1994 Hristo Stoichkov akaongeza nyingine. Miaka mitano baadae, mwakak 1999 Mbrazil Rivaldo akashinda tuzo na kuwafanya Barca iwe imetoa washindi watano. 2005 Ronaldinho akaongeza idadi.
ANGALIA JEDWALI LA VIWANGO VYA VILABU BORA DUNIANI MWAKA 2012
0 your comments:
Post a Comment