300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 30, 2013

Tagged under:

Mfanyakazi katika Posta kuu nchini Marekani astaafu kazi akiwa na miaka 44 kazini bila ya kupumzika .

Deborah Ford
Ifikapo Jan. 31, Deborah Ford atakuwa mwanamke wa kwanza katika ofisi za Posta za Marekani kuweka rekodi ya kufanya kazi kwa miaka 44 bila yakuchukua siku ya mapumziko akiwa anaugua kazini kama ambavyo wafanyakazi wa ofisi nyingi hufanya hivyo.

         Ingawa watu wake wa karibu na wanafamilia na hata wataalam wa madawa kama vile Detroit Free Press kumshauri apate muda wa kupumzika Ford  mwenye miaka  64 hakujali juu ya hayo na kuendelea kuchapa kazi pamoja na umri wake alionao.
         Alizaliwa na kukulia eneo la  Detroit, Ford alianza kazi ya ya kujitolea kaika kitengo cha  kutunza muda(timekeeping management) katika ofisi kuu ya Posta ya mji wa Detroit.
"nilijituma zaidi, kwa kuhakikisha majukumu yangu ya siku nayakamilisha," alisema Ford.
        Ford aliongeza kuwa na kusema,pale ambapo alijisikia vibaya alijikaza hukui akipanga mipango ya kusubiri sikuza mapumziko aweze kuonana na madaktari wake kwa tiba zaidi.
         "Ni ngumu kuziba pengo lake itakapotokea kutokana na uhudhuriajii wake kazini si hivyo tu hata taaluma ukijumuisha na umri alionao aliweza kutunza muda wake wa kazi vizuri," alisema Tony Carnagie, ambaye ni meneja wa mipango ya biashara,ambaye pia ameshafanya kazi na Ford zaidi ya miaka 15.
        "Ni moja ya kazi ya maadili yetu," alisema Ford.na kuongeza kuwa alishaga wahi ambiwa na baba yake kuwa asije kuchukua hataruhusa ya siku moja katika kazi yakendani ya miaka 30.
          Ford akiogea na vyanzo vya habari hii amesma alikuwa na mpango wa kustaafu lakini anajiuliza atafanya nini tofauti na kuwa na baba yake.
         "Naendakupumzika na kuangalia wapi maisha yatanipeleka baada ya kuacha kazi,naamini wafanyakazi wenzangu watafanya vizuri kama ambavyo mimi nilikuwa nafanya,wka upande wangu sharti nikatafute kazi ya kufanya siwezi kukaa nimezoea kufanya kazi," alisema.
        Bila kuchukua siku ya mapumzikowakati anaumwa si kitucha mchezo.
Ford kutokufanya hvyo ameweza kuokoa masaa 4,508 ambayo kawaida mfanyakazi yeyote angepoteza kwa kuomba siku za mapumziko kazini,na hali hii itamfanya aweze kuwa anachukua pensheni ya 5% toka kwenye kiwango cha pesa alichokuwa analipwa kama mshahara.

0 your comments:

Post a Comment