Baada ya kufanya vizuri mwaka jana katika industry ya music tofauti na kazi ya utangazaji mwanadada Loveness Moraless Malinzi mwite Lovness love a.k.a Diva toka clouds fm akiwa na ngoma ''nataka kupiga simu'' sasa kaamua kutouacha mwaka 2013 mwanzoni upite bila ya kudropsha zawadi kwa fans wake.Mzigo huu hapa mpyaa akiwa na Heri Samir Rajab namzungumzia Mr.blue wakikwambia ''Mgonjwa kwa raha zako''
Jan 31, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment