Fuatilia Post yenyewe na Comments zake hapa
Huyu
ndie msanii Chege Chigunda ambaye ni superstar kwa sasa wa Bongo fleva
ambaye hataki tena kuhojiwa na Media ndogo akimaanisha za mikoani madai
yake yeye ni matawi ya kuhojiwa na media kubwa tu na sio wadogo wadogo
kwanza wanampotezea umaarufu...Ni leo hii tu alipopigiwa simu na Impact
fm dodoma na kukataa kabsa kuhojiwa kwa kudai hii ni media ndogo sana
kufanya interview na yeye...Kafanya yake tumeyaona.
- You and Anthony Dotto Baya like this.
- Mussa Kisamo Kwa mtazamo wangu Chege ni msanii wa kawaida sana tu wala hana usupa staa wa kiviiile kwanza nina hakika hajulikani nchi nzima kama alivyo Diamond na wengine hata kwa hapa Dar ni wa kawaida sana tu.visuper star vyengine bana hapo utakuta hata nyumba nz...See More
- Mussa Kisamo Jinsi alivyo mpumbavu.mbona akina Jzee na wengine wa ukweli toka Marekani walikuja TZ na wakahojiwa na media hizi hizi hapa nchini kama na wao wangkuwa mafala kama yeye si wangesema wao hawahojiwi na media za TZ wanahojiwa na za new york.paris na london.kwanza keshachoka huyo keshaishiwa hana jipya na keshashuka kwa sasa anatafuta tu pakushikia asubiri kwisha kabisa kimziki
- Jimmy On Line Hajui gemu la bonga n ka bazoka inaishaaga utamu au....ndo ivo wasanii we2 wa bongo banaa wakipata matako hulia pwaaaa.
- Robert Mlambala sawa tuone mikoan ndiko kuna hela sasa kama ananyea kambi sawa tutaona ni kuungana mikoa yote asipate show tuone jiuli yake!
0 your comments:
Post a Comment