Kama ambavyo taarifa zimekuwa zikiripotiwa kuwa msanii Goldie Harvey toka Nigeria hayuko tena Duniani,huku akiwa hajaonana na Boyfriend wake Prezzo ambaye pia alikuwa co-house mate kunako Big Brother(Star game)2012,Prezzo ambaye aliamua kwenda kuonana na mchumba wake huyo baada ya Goldie kurejea tokea Marekani ambako alikwenda kushuhudia utolewaji wa tuzo za Grammy na aliporejea akapatwa na maumivu ya kichwa na muda mchache akapoteza maisha
Source: XXL@Clouds fm(exclusive interview Fetty with AY)
IANGALIE VIDEO ALIYOWAHI KUIFANYA AKIWA NA AY(SKIBOBO)
Feb 15, 2013
Tagged under: Entertainment, Video
Huu ndio ukweli wa Kifo cha Goldie na pia iangalie video yake ya SKIBOBO akiwa na AY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment