300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Feb 17, 2013

Tagged under:

Official Video release| Nahreel & Aika''Usinibwage"



Usinibwage ni ngoma ambayo inaelezea mahusiano baina ya kimapenzi kwa wapendanao,ngoma ambayo imeandikwa na wasanii ambao walikuwa wanaunda kundi la  Pah One lililokuwa likiwajumuisha IGWE,OLER,NAHREEL na AIKA,taarifa za hivi karibuni Nahreel na Aika walifunguka na kusema hawapo na kundi hilo ila kundi lipo.Inaweza kuwa ni hatua nyingine kwa wasanii hao kwani baada ya kama wiki moja watangaze kujitoa katika kundi la  Pah one wameweza kuachia single yao wakikwambia Usinibwage na hii ndiyo video yake unaweza kuitizama hapa.
AIKAT(witter:@Aikamarealle)
Song produced by Nahreel (Twitter @Nahreel)
Vocal: Mr. Thomas
Studio: Hometown Recordz

0 your comments:

Post a Comment