Akiiwakilisha vema Morogoro kwenye industry ya Music msanii anyefanya vizuri kunako game ya Bongo flavour Dayna Nyange ameamua kuwasogezea tena mazuri,awamu hii yupo na Heri Samir a.k.a Kabaiser namzungumzia Mr.blue na kazi saafi akikwambia ''Leo'' mzigo mzima huu hapa usikilize na kuudownload
@mlelekwaINC blog
Feb 12, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment