Baada ya shikamoo Pesa Kingkapita anarejea teena na hit nyingine akiwa ameitengeneza uzuri nacreativity ya aina yake humu ndani Godzilla kashirikishwa na baadhi ya back vocal kazipiga Richieboy yuko na Nas3 jiko lililohisika kupika mzigo huu ni DEfatality Ent Studio na aliyenyonga mdundo ni Messen Selekta,unaweza kuusikiliza na kuudownload kwa kubofya hapo chini.
Feb 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment