300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

May 14, 2013

Tagged under:

Burudani-Actress, Monalisa Chinda aingia kwenye maisha ya ndoa kisiri.

Monalisa Chinda akiwa na mumewe Lanre Nzeribe
       Kimekuwa ni kitu kisichotarajiwa cha muda mrefu baada ya kutengana na mume wake wa zamani  Dejo Richard mwaka 2010 taarifa zilizoelezea mwanaume huyo aliamua kuoa mwanamke mwingine,Leo karibia mitandao yote Nigeria imeripoti kuwepo kwa tetesi za mrimbwende mwenye mvuto kwenye Tasnia ya Uigizaji wa Filamu nchini Nigeria  Monalisa Chinda kutangaza rasmi kuuacha upweke na kuyasahau maumivu aliyoachiwa na Dejo na kuwa mwanandoa na msaidizi wa kazi zake za filamu za Filamu anayefahamika kwa jina la Lanre Nzeribe
      Huku fans wake na wapenda Movie za Nigeria(Nollywood) wakiendelea kuachwa vinywa wazi kwa Diva huyo kuingia kwenye uhusiano wa kindoa Monalisa(Lisa) ameelezea kuwa ndoa ni kuchagua na si kulazimishwa,na mashabiki wafahamu hapo haigizi ni ukweli wa mambo,kilisema chanzo cha habari hizi.
I believe in the principles of marriage. Whether you like it or not, marriage is a better option.”
          Kwenye Interview yake ya mwisho na mtandao wa habari kubwa nchini Nigeria Monalisa alikaririwa akiweka wazi shauku yake ya  kuwa chini ya mwanaume  yaani kuwa kwenye ndoa
 “I will love to remarry. In fact, I’m designed to be under a man, I will definitely remarry'',.


0 your comments:

Post a Comment