May 16, 2013
Tagged under: Sport
Ikiwa ligi mbalimbali kwa ngazi ya vilabu Ulimwenguni takribani zote zinafikia ukingoni tayari tetesi za uhamisho kwa baadhi ya wachezaji zimeanza kuzungumziwa na vyombo mbalimbali vuya habari na mitandao inayojihusisha na masuala ya michezo.James Richardson, Les Ferdinand na Greg Stobart ni baadhi ya wachambuzi wa masuala ya michezo hususani mpira wa miguu wameweza kuweka wazi tetesi za baadhi ya wanandinga Ulaya kuvihama vilabu wanavyochezea na kwenda timu nyingine,,Kati yao wapo Carlos Tevez(Man City),Raamel Falcaowanaoelezewa kujiunga na AS Monaco ya Ufaransa,Wayne Rooney anayezungumzwa kwenda kati ya PSG/Chelsea,Christian Benteke(Aston Villa) kwenda Arsenal,paoja na tetesi zingine za wachezaji kutoka timu wanazochezea kwenda timu nyingine.
KWA UNDANI WA TETESI HIZI ZA UHAMISHO WA WACHEZAJI NA VIONGOZI MBALIMBALI WA TIMU WAKIWEMO MAKOCHA UNGANA NA WACHAMBUZI HAWA KATIKA MAZUNGUMZO(TRANSFER TALK).
Michezo-Tetesi za Uhamisho wa Wachezaji Ulaya,Tevez & Falcao kujiunga na AS Monaco ya Ufaransa.
Ikiwa ligi mbalimbali kwa ngazi ya vilabu Ulimwenguni takribani zote zinafikia ukingoni tayari tetesi za uhamisho kwa baadhi ya wachezaji zimeanza kuzungumziwa na vyombo mbalimbali vuya habari na mitandao inayojihusisha na masuala ya michezo.James Richardson, Les Ferdinand na Greg Stobart ni baadhi ya wachambuzi wa masuala ya michezo hususani mpira wa miguu wameweza kuweka wazi tetesi za baadhi ya wanandinga Ulaya kuvihama vilabu wanavyochezea na kwenda timu nyingine,,Kati yao wapo Carlos Tevez(Man City),Raamel Falcaowanaoelezewa kujiunga na AS Monaco ya Ufaransa,Wayne Rooney anayezungumzwa kwenda kati ya PSG/Chelsea,Christian Benteke(Aston Villa) kwenda Arsenal,paoja na tetesi zingine za wachezaji kutoka timu wanazochezea kwenda timu nyingine.
KWA UNDANI WA TETESI HIZI ZA UHAMISHO WA WACHEZAJI NA VIONGOZI MBALIMBALI WA TIMU WAKIWEMO MAKOCHA UNGANA NA WACHAMBUZI HAWA KATIKA MAZUNGUMZO(TRANSFER TALK).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment