Mkurugenzi wa Clouds Media bw.Joswph Kusaga |
Inawezekana ukawa ni mmoja ya wadau wakubwa wa Clouds Fm/Tv,Prime Time Promotion,BaabKubwa Magazine na hata Clubs Kubwa hapa nchini hususani Mawingu Club iliyoko Arusha.Nmeonge hivi kwa sababu research ndogo ambayo imefanyika inaonesha watu wengi wanaamini Clouds Fm imezaliwa Arusha toka kwenye Kiswahili kwendakiingereza namaanisha(toka Mawingu kwenda Clouds).
Kupitia mtandao wa You-Tube nmekutana na mkurugenzi mkuu wa Clouds Media bw.Joseph Kusaga akielezea Chanzo cha Clouds Fm/TV.
HII NDO CLOUDS MEDIA KWA UJUMLA PAMOJA NA TAMASHA LAO KUBWA LA KIBURUDANI LA KILA MWAKA LINALOFAHAMIKA KAMA FIESTA AMBALO KWA SASA LIKO CHINI YA UDHAMINI WA SERENGETI PREMIUM LAGER
MTIZAME NA KUMSIKILIZA HAPA CHINIJOSEPH KUSAGA AKIELEZEA CLOUDS MAANA YAKE NA SI KAMA WENGI WANAVYOJUA KWAMBA ILITOKA MAWINGU NA CLOUDS MEDIA KWA UJUMLA ILIVYOANZA
0 your comments:
Post a Comment