300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

May 24, 2013

Tagged under:

Newz-Uhusiano wa kimapenzi bila ya Ngono Haiwezekani


Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria, amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Ghana na Nigeria wamekuwa wakiolewa na wanaume zao kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.
        Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.” Alifunguka actress huyo.Alipoulizwa kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi kudumisha uhusiano bila ngono.”
Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazi kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi

I

0 your comments:

Post a Comment