Kwa mara nyingine tena toka RUDEZONEMUSIC imemdondosha na Hit nyingine mkali Rude Rogers akiwa na mziki mkali,awamu hii zikiwa ni Shukrani zake kwenu ambazo anazitoa,,ujio saafi unaokwenda kwa jina la SHUKRANI ZA RUDE mkwaju ukitengenezwa paleeeeee!!! KAZAWAZA RECORDS iliyoko Arusha
Flavour tamu toka kwenye mashairi na meseji iliyoshiba unaweza kuisikiliza ngoma hapo chini
May 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment