May 24, 2013
Tagged under: Sport
Beki wa Klabu ya Inter Milan Marco Materazzi amesema angependa kujiunga na kocha mpya wa Chelsea Jose Mourinho at Chelsea pale boss huyo wa sasa wa Real Madrid atakapoamua kurudi katika Klabu yake ya zamani kipindi hiki cha majira ya joto
Beki huyo aliyestaafu kucheza mpira mwishoni mwa mwaka 2011 baada ya kukipiga Inter kwa muda wa miaka 10,ambaye alikuwa ni moja kati ya wachezaji waliokuwa wanapewa nafasi katika kikosi hicho kilichochukua ubingwa wa UEFA chini ya Jose Mourinho mwaka 2010.
Mourinho aliiacha Inter Milan na kutimukia Spain ,baada ya kupata mafanikio makubwa,lakini mkataba wake wa miaka mitatu kuifundisha Real Madrid unahitimishwa mwishoni mwa mwaka huu ambapo kocha huyo atatarajiwa kurudi tena Stamford Bridge.
Materazzi alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja katika timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza katika msimu wa mwaka 1998/99 na anasema itakuwa ni ndoto kurudi tena nchini Uingereza kwa mara nyingine akiwa kama msaidizi wa Mourinho.
"Ningependa kuwa msaidizi wake,ingekuwa ni ndoto ambapo ungesema ni mafanikio,ningependa kufanyakazi na The Special One,kipi kingekuwa bora?",alisema Materazzi .
"Yeyote anayezungumzia ukorofi wa Mourinho mimi sijali kwa sababu napenda mtindo wake wa uongozi,kwani alitufanya tufanye kazi kwa bidii uwanjani kwa sababu anajua huu mmchezo ni mpira wa miguu.Muda mwingi anafikiri kuhusu mafanikio na ndiyo maana amekiuwa ni mtu maarufu.Umaarufu nni kitu cha thamani katika maisha ,hivo kwa nini isiwe katika Michezo?"
"
Sports- Marco Materazzi atamani kujiunga na Jose Mourinho Chelsea

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment