Chanzo cha habari hii kinaeleza kuwa tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond
ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi
zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani
Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo
hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii mwigizaji Emmanuel Mgaya( Masanja Mkandamizaji) ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika kwenye biashara hiyo ya Madawa.
Taarifa juu ya hiki zitazidi kukuijia hapa hapa kikubwa share na rafiki zako

SOURCE:JAMII FORUM
0 your comments:
Post a Comment