IANGALIE HAPA VIDEO HIYO
WE DO WORK ni video ambayo shooting yake yote imefanyika jijini Arusha-Tanzania chini ya Director Lukyamuzi Bashir chini ya kampuni ya BADI MUSIC toka Uganda ya kwao Navy kenzo wakimshirikisha A Pass msanii toka Uganda,huu ni mkwaju mpya wa tatu wa kundi hilo tangu Aika na Nahreel wajitoe Pah One baada ya ngoma kama Hold me Back, Cheza Kizembe.
0 your comments:
Post a Comment