Dj Choka ni mmoja kati ya wasanii wanaofanya project za kuwashirikisha wasanii katika ngoma zake,,alianza na hit iliyomtambulisha "Pamoja we can" hakuacha gape akatupia pini lingine "Press Play" na kwa sasa jamaa bado anahang na kick nyingine "Latino Nation",jee unajiuliza ujio wake mpya uko vipi,,
Interview hii hapa aliyofanya na Mlelekwa Inc na akifunguka mipango yake ya kuuvusha border mziki wa Tanzania.
MSIKILIZE HAPO CHINI ALIVYOKUWA AKIPIGA STORI NA MIMI
0 your comments:
Post a Comment