![]() |
Eminem katikati ya Kirk Herbstreit na Brent Musburger |
Usiku wa jana Marshall Bruce Mathers III a.k.a Eminem zamani/Slim Shady alitengeneza historia nyingine katika maisha yake baada ya kuingia kunako chumba cha kutengenezea Matangazo( booth) cha kituo cha ESPN(Entertainment and Sports Programming Networks) hapo jana Usiku kwenye mchezo Notre Dame-Michigan na kukutana na Waongozaji wa Matangazo ya Mchezo huo Kirk Herbstreit na Brent Musburgerto kitu ambacho si cha kufikirika hata kidogo.
The rapper's new song "Berzerk" ni wimbo mpya wa Rapper huyo ambao ulitangazwa kuwa ni moja kati ya kazi ambazo ni kwa ajiri ya mwendelezo wa SNF's(Saturday Night Football series) ndani ya ESPN,baada ya kuiangalia Video ya wimbo huo kwenye Mapumziko ya Mchezo huo Eminem akaungana na Musburger na Herbstreit kwenye kipengele cha Maswali na Mjibu
Hii hapa clip yenye urefu wa dakika 2 na sekunde 5 ikimwonyesha Eminem akiwa na Musburger na Herbstreit ingawa uso wake ulionyesha Eminem kutokuwa tayari baada ya kutambulishwa na Musburger hilo halikuleta mjadala,kilichofuata ilichezwa Clip ya Video ya Wimbo wa Eminem yenye sekunde 20 na mara baada ya hapo rapper huyo alifungukaa na kusema "live TV freaks me out a little bit." hii ilitokana na kulimwa swali na Musburger kuhusiana na kumfanya Eminem awe Juu,alipomaliza kujibu kipengele cha Maswali na Majibu kilifika mwisho lakini Eminem aliendelea kung'ang'ania abaki pale chumbani(booth).
ITAZAME VIDEO HAPA:
0 your comments:
Post a Comment