| Mmoja wa wahamiaji haramu toka Ethiopia na kwingineko akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro |
| Moja ya Magari lililohusika kuwabeba Wahamiaji hao |
![]() |
| Kichapo kama Kawaida |
| Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa |

0 your comments:
Post a Comment